Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,848
- 730,360
Tangazo la mwezi wa 12 la king'amuzi cha Startimes lilikuwa tangazo lililokosa weledi kwenye lugha ya kiswahili na kwakweli linarudisha juhudi nyuma za kukiweka kiswahili kwenye ramani ya dunia
Sioni sababu kwanini lisingetumika neno WAZAWADIE na badala yake wakatumia neno la Kiingereza lililochakachuliwa na kiswahili yaani wagiftishe
Wakati wenzetu wakiwa makini na lugha zao sisi tunafanya mizaha