Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,208
- 4,405
Amani iwe juu yenu wapendwa wote. mwaka 2016 unahitajika kuwa mwaka wa mabadiliko katika fani ya ushairi Tanzania na Afrika ya mashariki kiujumla.
mabadiliko hayo yanakuwa katika
vipengele mbalimbali ikiwemo
kuboresha ushairi wetu ili uweze
kuthaminika kama ilivyokuwa miaka
iliyopitA.
kwa kiasi kukibwa fani ya ushairi
imeshuka siyo kwamba hakuna
watunzi,la.
siyo kwamba hakuna wapenzi,la.
bali wahusika wa kuendeleza fani
wamekuwa kimya kwa muda sasa.
wadau na wataalamu wa sanaa hii
wamekuwa kinyonge sana.
wakati sasa wa wadau na wanaushari
wa Tanzania na Afrika ya mashariki
kuwa na mipango ya kuwekea kwa
ajili ya sanaa hii.
kadru muda unavyozidi kwenda ndivyi
sanaa itajavyozidi kulala iwapo wenye
kipawa hiki wataendelea kukaa kimya
na fani yao kichwani.
tuchukue maamuzi sasa ya kuibadili
na kuiendeleza sanaa hii.
USHAIRI NI ZAIDU YA UTUNZI NA UANDISHI.
Idd ninga.
iddyallyninga@gmail.com
mabadiliko hayo yanakuwa katika
vipengele mbalimbali ikiwemo
kuboresha ushairi wetu ili uweze
kuthaminika kama ilivyokuwa miaka
iliyopitA.
kwa kiasi kukibwa fani ya ushairi
imeshuka siyo kwamba hakuna
watunzi,la.
siyo kwamba hakuna wapenzi,la.
bali wahusika wa kuendeleza fani
wamekuwa kimya kwa muda sasa.
wadau na wataalamu wa sanaa hii
wamekuwa kinyonge sana.
wakati sasa wa wadau na wanaushari
wa Tanzania na Afrika ya mashariki
kuwa na mipango ya kuwekea kwa
ajili ya sanaa hii.
kadru muda unavyozidi kwenda ndivyi
sanaa itajavyozidi kulala iwapo wenye
kipawa hiki wataendelea kukaa kimya
na fani yao kichwani.
tuchukue maamuzi sasa ya kuibadili
na kuiendeleza sanaa hii.
USHAIRI NI ZAIDU YA UTUNZI NA UANDISHI.
Idd ninga.
iddyallyninga@gmail.com