Kiswahili chaangamia

philipItinde

Member
Jan 29, 2015
29
9
Nipinge kama sio kweli pia like kama nipo sawa lakini hata hivyo mie tangu mwaka jana niliamua kutumia lugha ya kiswahili kwenye simu yangu ambayo muda mwingi ninayo.Je nawe wafanyaje kuokoa LUGHA YETU YA KISWAHILI isiweze kutawaliwa na maneno mengi ya kihuni?
 
Last edited:
Hakuna kuokoa lugha. Unatumia au hutumii. Ongea, andika, jitahidi.
 
Wewe mwenyewe mkuu unachangia sana katika kuiangamiza lugha yetu,angalia bandiko lako kichwa chake cha habari,maneno mawili ya mwisho yalipaswa yawe 'chaangamia' badala ya 'cha angamia',umeacha nafasi pasipotakiwa,pia ndani ya bandiko lako umetumia neno la lugha ya kiingereza la 'like' wakati kuna mbadala wa neno hili mkuu
 
Kiswahili ni kigumu mkuu
 
kweli unalosema lakini tatizo ni kukazaniwa lugha tofauti,pia ninatumaini siku zijazo nasi tutaithamini lugha yetu na kuitangaza vyema...
 
Tawile mkuu,kiswahili ndio lugha ya pili kwa kuongewa na watu wengi zaidi barani Afrika ikitanguliwa na lugha ya kiarabu,kwa hiyo kwa lugha za asili ya Afrika ndiyo inaongoza,ni lugha poa sana
 
Nipinge kama sio kweli pia like kama nipo sawa lakini hata hivyo mie tangu mwaka jana niliamua kutumia lugha ya kiswahili kwenye simu yangu ambayo muda mwingi ninayo.Je nawe wafanyaje kuokoa LUGHA YETU YA KISWAHILI isiweze kutawaliwa na maneno mengi ya kihuni?
Watumwa wa malkia watakuja na vijembe wee Subiri uone
 
Back
Top Bottom