Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Professor Michael Sandel presents a lecture from his Harvard course in Political Philosophy. He explores the morality of murder and asks if there can ever be a case for killing. Theme nzima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanachuo wa chuo kikuu kishiriki cha SAUT, tawi la Mwenge wameingia kwenye mgomo wao rasmi toka asbui wakishnikiza kutekelezwa kwa madai yakiwemo ya kucheleweshewa hela ya kuikimu. Source, wanachuko.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Toka jana nipo Mbeya. Muda si mrefu nimepita mbele ya geti la chuo cha Theofilo Kisanji University Mbeya. Nimeona kuna FFU wanarandaranda ndani ya eneo la chuo huku baadhi ya wanafunzi wakikimbia...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
WADAU NISAIDIENI NIMEKWAMA MWENZENU,NATAFUTA MFADHILI ANILIPIE ADA TUU,TAFADHALINI NISAIDIENI NI ADA YA MASTERS NASOM HAPAHAPA BONGO I berg I berg
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakati wanafunzi wa udsm wakiwa wanajaribu kuusubili ujio wa waziri wa elimu chuoni hapo, hali ya utulivu bado si ya kiwango cha juu kwani kumekuwa na maandamano ya hapa na pale kuzunguka maeneo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I'm wishing u all the best and success in ur national examinations (NECTA). God bless You my young broz & sisters.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ilikuwa ni jambo la aibu na fedhea kubwa pale vijana wanao jipendekeza katika tabaka tawala na ambao elimu yao haijawakomboa hapa UDOM baada ya kuzomewa kwa sauti kubwa zikisindikizwa na ma...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wapendwa wangu wote wa jamii forum.Leo ningependa kidogo tushirikishane kuhusu hii migomo ya wanafunzi wa elimu ya juu au vyuo vikuu. Kwa sasa kwa ukweli limekuwa ni donda ndugu ambalo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za KI-Intellegence: MATOKEO KIDATO CHA NNE NI STANDARDIZATION YA MATOKEO HALISI BAADA YA WANAFUNZI KUFELI KUPITA KIASI. HABARI NILIZO ZIPATA KUTOKA SOURCE MOJA ILIYOKUWA KWENYE...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Kwa wale tuliosoma IST.....mpo? hebu tukumbushane....i do hope tutakuwa wachache humu.....
0 Reactions
53 Replies
7K Views
John Nditi Daily News; Tuesday,June 10, 2008 MAFANIKIO ya maendeleo yawe ya kijamii ama kiuchumi kwa taifa lolote lile duniani, hayawezi kupatikana pasipo watu wake kuwa na elimu ya kutosha na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Ilikuwa mida ya saa 2 unusu sa 3, gari ya matangazo ilipita UDOM kuwaarifu kuwa kesho ndo siku yao, ghafla walipopita mabweni ya wasichana wakapewa salamu " wabakajiiiiiiiiiiiiiiiii"...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kumekuwepo na migomo karibu kila kinachoitwa chuo kikuu nchini Tanzania. Lakini cha kushangaza serikali inachukulia mzaha mzaha tu.... Bila hata kuangalia undani wa matatizo ya hawa vijana. Pia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwanza napenda kuwapongeza wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wanaopigania haki zao. nimefuraishwa na ujumbe wa mabango yao kwamba kama serikali ina mabilioni ya kulipa mafisadi wanakosaje fedha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekuwa nikikerwa sana na tatizo la kuvuja kwa mitihani mashuleni, vyuoni n.k. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiria njia mmbadala kukomesha tatizo hili. Nadhani kutumia mfumo ambao nitauitwa "Open...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za uhakika tulizozipata usiku wa kuamkia leo ni kwamba wanachuo wa chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama wamefanikiwa kumngoa mkuu wa chuo hicho. Mkuu huyo aliyekuwa na kashfa mbali mbali...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wote naamini tunakumba kuwa mwezi uliopita Rais Kikwete alizindua mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari Awamu ya Pili. Mpango huu unapatikana katika tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maandamano kuelekea ikulu sasa yapo, mitaa ya bamaga. Wanafunzi wa ifm kuwasubiri kwa ham
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani chuo kikuu cha dr es salaam leo hapaeleweki, kwani maktaba imefungwa, watu kutoka hostel za mabibo wametembea kwa miguu mpaka hapa, na inasemekana kutakuwa na maandamano mpaka kwa rais...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Taarifa za kuaminikika toka chuo kikuu cha dsm ni kwamba kuna mgomo unaendelea ukiwa na maandamano kuzunguka maeneo ya chuo. Na wanafunzi wamejitokeza kwa wingi na kwa umoja wa ajabu huku wa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom