ubora wa elimu ya india | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ubora wa elimu ya india

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Mar 9, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  naomba kuuliza ubora wa elimu inayotolewa nchini india as utakuta m2 kapata dv 4 au 0 hapa bongo bt anakimbilia india ambapo anaruhusiwa kusoma bachelor degree wakat hapa bongo nackia hairuhusiwi so wana jf hilo suala limekaaje hapo?
   
 2. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,497
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  sina uhakika na entry qualification zao, lakini elimu yao ni nzuri hasa kwa techincal matters; unajua hivi sasa mali nyingi za india zinaaminika kuliko za mchina kuanzia pikipiki, magari, vyombo vya muziki kama amplifiers nk hadi some electronic equipments. Wamedhibiti uzalishaji wao kiasi kwamba uchakachuaji ni mdogo.
  Hata hivyo inawezekana kuna vyuo visivyotambulika ambavyo vyaweza kuwa vya kitapeli lakini vyuo kama mysore vinaaminika.
  Kwa hapa tanzania tayari kuna chuo kikuu kinaendeshwa na wahindi - ni cha kanisa; ni kizuri sana St.Joseph College Eng.and Tech.
  www.stjosephtanzania.com
   
 3. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nchi ikiwa na high capacity intake basi suala la kwamba mtu kapata grade fulani ndio anakuwa considered linapewa kipaumbele cha chini sana.Kwa Tanzania nafasi katika shule na vyuo ni chache hivyo lazima mchujo uwe mkali sana.Hauwezi kulinganisha ubora wa elimu kwa kutumia hicho kigezo,pima uwezo wa wahitimu.Watu wengi kwa kutumia kigezo cha kwamba Mtu aliyepata division 4 na kuruhusiwa kusoma katika nchi kama Uganda basi wana-conclude kuwa elimu ya Uganda na India ziko chini yet ukianza kuwaulizia maswali zaidi wataishia kukuuliza kabila lako na kukulaumu kwa kukosa uzalendo.Wangapi wamepiga beseni hapa Tz yet kwenda abroad wanapeta vizuri tena kwenye developed countries.
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  @ls nashukuru kwa kunijuza hili
   
 5. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umepimaje uzuri wake aisee?
   
 6. M

  Matarese JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkubwa hicho chuo sio cha kanisa isipokuwa wanatumia mgongo wa kanisa kuendesha biashara yao, ni full usanii tu pale!
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  umesoma india au wewe ni mhindi nini?
   
 8. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mimi kuna rafiki yangu alipata Division 3 aliomba Bsc in Computer Science Udsm ila alikosa..akaomba University of Cape Town(Chuo cha kwanza kwa Ubora Africa) akapata nafasi.
  Sasa sijui ubora unapimwa vipi au elimu ya High School ya Tanzania ni nzuri na inakubalika sana Duniani?
  Pia kuna watu kibao wako USA,UK division zao sio nzuri sana.
  Pia kuna vyuo humu ulimwenguni hawajali sana Ulifanya nini kwenye mtihani wako wa mwisho.
   
 9. N

  Ngo JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  Nadhani mfumo wa elimu yetu na uchanga wa nchi yetu unachangia katika haya. Mtu akikosa dv 1 au 2 hawezi kwenda UDSM au Mzumbe kwenye course zenye competition. Hivyo mtu akienda vyuo vingine anaonekana hakuwa mzuri ambayo siyo kweli. Suala la kumpima mtu kwa mtihani wa mwisho sidhani kama ni kipimo sahihi cha uwezo Mwanafunzi. Kama siku hiyo umeamka vibaya mtihani hujafanya viuri basi unaonekana wewe siyo mzuri. Kwa wenzetu uwezo wa mwanafunzi haupimiki kwa mtihani wa mwisho tu bali maendeleo yake mpaka siku ya mtihani wa mwisho.

  Tuna vyuo vichache hapa TZ ndo maana haya yote yanatokea. Kwa wenzetu Vyuo ni vingi na vikubwa vyenye uwezo wa kuchukuwa wanafunzi wengi. Unaweza kushangaa huyo rafiki yako aliyeenda huko S/Africa akarudi hapa ni bora zaidi ya hawa waliopata division 1 na 2 Wakaenda UDSM au Mzumbe.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  dah!broh,sa hao wa2 wakirud bongo tcu itatambua vyet vyao kwel jaman,mana nackia nao wana mashart yao?
   
 11. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  TCU wanahusika na qualification za kuingia chuo,sina uhakika kama wana mamlaka ya ku-verify university graduates.Hata hivyo sidhani kama mtu atakuja na scripts zake za Cape town uni halafu TCU wamwekee mkono kwamba alifeli form 4 au form 6.
   
 12. N

  Ngo JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  Alikuwa anakutolea mfano kijana uweze kujuwa kuwa mambo yalivyo. Ukikataliwa mlimani au Mzumbe na Harvard wakakukubali watakuja kuhoji kwa nini ulipata DV 4 ukakosa vyuo vyetu lakini huko Harvard ukakubalika? TCU nini bwana mdogo? Kwa taarifa yako elimu yetu hapa ukienda kwenye nchi zilizoendelea unaonekana kam vile umetoka sayari nyingine (matakoni mwa dunia) na vyuo vyetu hapa havitambuliki japo sisi tunajisifia navyo. Siyo kuwa hatujui mambo bali kwa vile tu tumesoma nchi masikini wanakuwa na assumption kuwa elimu yetu nayo ni duni. Hujiulizi kwa nini watu wanataka kwenda kusoma nchi zilizoendelea?
   
Loading...