natafuta kitabu hiki nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta kitabu hiki nisaidieni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mopalmo, Mar 9, 2011.

 1. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wana jf natafuta kitabu cha kikristo kinachoitwa neema yangu yatosha kilichoandikwa na Ghulam Masih Naaman,mwanzo alikiandika kwa kingereza halafu kikatafsiriwa kwa kiswahili,ni cha mwaka 1997,pia natafuta vitabu vingine alivyoandika,nijulisheni ni duka gan kwa hapa Dar maarufu kwa vitabu vya kikristo
   
 2. L

  Lady JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nenda Efatha Bookshop Mwenge.
  Wana vitabu vingi sana vya watumishi mbalimbali.
   
Loading...