Msaada kuhusu ku apply chuo!

Shark's Style

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
311
182
Hellow nilikuwa nahitaji maelezo kuhusu mtu alie maliza form six miaka mitano iliyopita yaani 2007 pia ana Basic technician certificate NTA level 4 kwa masomo ya Electronics and Telecommunication Engineering. Je ye ataaply chuo vipi nilazima apitie TCU japo vigezo vya formsix vinatosha maana amesoma PCB na anataka asome masomo ya science hasa IT na Computer science na ana 3.5 points kuna vyuo vina chukua kuanzia 2 na vingine 3.5 kwa direct entry. Pia je Nilaizima aaply kupitia TCU vp kuhusu kigezo cha muda mrefu kupita TCU watakubali kweli kuprocess application yake? Kwasababu vyuo karibia vyote ukiwa na Equivalent entry qualification unaenda chuoni kuchukua form yao na sio tcu. ni hayo tu nahitaji Msaada wa kumsaidia huyu dogo.
 
Back
Top Bottom