Udom wafungiwa kutumia FACEBOOK.

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Katika chuo kikuu cha Dodoma jambo la kushangaza ni uongozi wa juu umeamua kublock SSID UDOM FACEBOOK. Kwani kila unapotaka kufungua Facebook inakataa na kwa jambo hilo limeleta utata na wanafunzi wanalalama kwa nini Chuo imeamua kufanya ivyo.
Wana JF je hili ni halali ama kutakuwa na sababu iliyojificha.
 
Huwezi kulifunika jua na ungo.
 
Wanajidanganya hao. Kupambana na teknolojia ni sawa na kupigana na ukuta wa chuma... haitawasaidia lolote. sanasana inaonyesha jinsi gani walivyo wajima na jinsi wanavyoshindwa kushughulikia matatizo ya watu ipasavyo
 
wana hisi facebook ndiyo suluhisho? kama wanaweza wafunge na msg za sim za mkononi.
Kukanadamiza wasomi ni sawa na kucheza na moto kwenye tank la petrol.
Huu mwaka wakwao wata haha saaana
 
Hivi hawa wanafunzi wanaodai hawana hela bado wana muda wa kubrowse facebook, wawarudishie na ze utamu maana wasomi wetu ndio hao.
 
kama ni computer za chuo ni uwamuzi sahihi kabisa, tena wamechelewa sana, wangefungia internet kwa ujumla lingekuwa kosa lakini hii facebook inayotumika ili wanafunzi watongozane fungilia mbali, kwenye internet kuna vitu vingi vya msingi vya mwanafunzi kujifunza online na sio facebook, na hilo sio udom tu hata maofisi mengi siku wanaiblock hiyo facebook maana hata mijitu mizima na akili zao inaacha kufanya kazi kisa facebook!
 
wanaweza wakadownload softwares za ku unblock na kuinstal katika kumpyuta zao, mfano wa software mojawapo ni hotspot shield. ukishainstal hizo unaweza kuaccess any blocked site.
 
Wanataka kuwafanya wanajamii wa UDOM waishi kama enzi za kina Zinjatropas!
 
Wanataka kuwafanya wanajamii wa UDOM waishi kama enzi za kina Zinjatropas!

Mkuu nadhani haujamwelewa vizuri mtoa mada, hawajafungiwa internet bali wameiblock facebook kitu ambacho nakiunga mkono kwa asilimia 100%.
 
Mkuu nadhani haujamwelewa vizuri mtoa mada, hawajafungiwa internet bali wameiblock facebook kitu ambacho nakiunga mkono kwa asilimia 100%.

Nimemwelewa vizuri sana mkuu...nachelea kusema facebook inatumiwa sana na vijana na wanafunzi. Kwa nini waifungie..leo wameifungia facebook..kesho watafungia yahoo,twitter n.k lazima tuwapinge hawa wakoloni weusi. Kutulazimisha tuishi wanavyotaka wao ni sawa na kuturudisha enzi ya mkoloni au hata enzi ya Zinjathropas!
 
Mkuu nadhani haujamwelewa vizuri mtoa mada, hawajafungiwa internet bali wameiblock facebook kitu ambacho nakiunga mkono kwa asilimia 100%.

unadhani hawajui ni ubishi tu, watu wamewekewa facilities kwa ajili ya kusoma wanataka ku add friends na post picha pumbaf kabisa
 
They are running away from their sweat, cellular zipo mwaka wa mabadiliko huu hata wafanyaje watakwenda na maji tuu, hata kazini kwangu wamebana facebook, na social network zote za mapenzi mapenzi lkn hapo chuo nadhani wanaogopa ya MUBARAKA lkn watayapata ya Gadaffi
 
tehe tehe tehe tehe! Nimependa ulvyochangia ukwel. Na hao frnds bora wangekuwa wanadiscus isue za maana. Ni i lv u, nmepnda pcha yko, twaweza kuonana?n.k. Bora wafungiwe kabaisa. Pumbf zao!
unadhani hawajui ni ubishi tu, watu wamewekewa facilities kwa ajili ya kusoma wanataka ku add friends na post picha pumbaf kabisa
 
Back
Top Bottom