Cbe dodoma jiandaeni ffu wapo njiani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cbe dodoma jiandaeni ffu wapo njiani.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Tusker Bariiiidi, Mar 9, 2011.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Members wa JF wenye ndugu na Marafiki wanaosoma CBE Dodoma... Wataadharisheni wanachuo wasomao hapo kuwa FFU wapo tayari in FULL GEAR wakijiaandaa ku-attack... nawasilisha...
   
 2. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  ffu tumechoka nao mana wanakera ,wanafunzi wa udom inaonekana kama hawapendi shule,yani wana fact za ajabu eti hawafanyi mitihani kisa imetungiwa dar,mmmmh!!makubwa
   
 3. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha wawape uzoefu wa kuzoea mabomu ya machozi ili tukidai haki zetu waoga wapungue.....
   
 4. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Waziri Chami amekwisha tatua tatizo muda huu.. Ameagiza mitihani itungiwe hapohapo Dodoma.. Pia amekubali tuitor Misaky ajadiliwe na kamati.. Wanafunzi walimkataa pia..
   
 5. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  mkuu naanza kuwa na wasiwasi na usenior expert wako! post inahusu cbe we waongelea udom?? kwanini huwa mnakurupuka sana? take time to read the post
   
 6. howard

  howard Senior Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
 7. n

  ntobistan Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani kumetokea nin tena wana JF?Plz nifahamishen nijue mwenzenu
   
 8. s

  simonbais New Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
Loading...