Naomba ushauri wa kitaaluma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri wa kitaaluma

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Smarter, Mar 8, 2011.

 1. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Salaam Great Thinkers,

  Graduate wa IT level ya Degree. Nimeshafanya kazi kwa miaka 4 sasa kwenye field ya IT. Nataka kuongeza Elimu (Masters Level).

  Sababu.
  1. Nimeona nina interest na positions zitakazo nipa wasaa wa kufanya more of
  Corporate management decision tasks. (Finance, Economics) Corporate
  Management.

  2. I am dreaming of qualified to more Senior Level tasks, CEO, DG, MD in some
  years to come, and later inipe experience ya ku manage self own Corporation
  (15-20 years )

  3. Kujiweka karibu na possibilities za greenier pasture.

  Cross Road:
  nashindwa kuamua ni some Program gani kati ya hizi cause ndizo zilizopo eneo nilipo;
  1. Masters of Science Finance and Investment
  2. MBA- Procurement and Logistic Management
  3. MBA - Information Technology Management

  Nahitaji ushauri ni course gani kati ya hizi itanipelekea kutimiza malengo hayo?

  Nawasilisha.
   
 2. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nadhani Msc Finance and investment itakufaa; ila kwa suala la kushika positions za CEO,DG au MD siwezi kukuhakikishia kwani hizi huendana zaidi na experience. Itakubidi uanze na post za chini kidogo na upande taratibu hadi huko juu. Hii pia itategemea success ya sehemu utakayokuwa unafanyia kazi. Ikifanikiwa vizuri then watu wanajiuliza -who are behind that success? wanakuta umo.
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hii ya tatu . MBA - Information Technology Management inakufaa kutokana na foundation uliyonayo ya IT ila kama unataka kuwa fisadi soma hiyo ya pili MBA- Procurement and Logistic Management
   
 4. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Msc in Management Of Information Systems is well and good as it combines Management,finance and IT subjects.
  Go for it.
   
 5. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Thank you so much kwa valued contribution.
  Kamakabuzi.......Wewe unaamini nini katika ku-diversify professionals?

  Meaning kama mtu kasoma Accounts later in Graduate School akasoma IT kuna ubaya or is there any effect katika soko?

   
 6. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  @ Bushbaby
  MBA-IT Management.
  Kwa mtazamo wangu usiio rasmi Naona hii course nita major sana kwenye IT Management.......hivyo naona hakuna jipya saana na IT undergraduate cause mwaka wa mwisho tulisoma sana IT Management though sio in depths sana. and naona ikinipeleka mbali sana ni kuwa IT Manager ( Director and the like) Pia haita nipa exposure na Finance & Accounts (ninaamini sana knowlege ya hivi vitu itaniwezasha hata ku-manage personal Businesses in long run).

  Whats your opiniion kuhusi professional diversification? Umesoma Law Undergraduate and unataka Finance Graduate.....how do u find this?
   
 7. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Asante sana kwa mchango,

  whats your opinion kwa Watu wanao badilisha courses...........? I mean couse diversification.

   
Loading...