Uanzishwaji wa shahada mlimani na dosari zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uanzishwaji wa shahada mlimani na dosari zake

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Raia Fulani, Mar 11, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Leo naibu wa viwanda na biashara ndg lazaro nyalandu kazindua shahada 2 za uzamili (master's program) - master of int. trade na master of int. business ambazo zinatolewa na UDBS. Ni jambo zuri lakini kuna maangalizo hapa. UDBS wanatoa shahada ya uongozi wa biashara-Bachelor of Business Administration. Hii shahada haitambuliwi rasmi na chuo kikuu! Huwezi ukamaliza BBA na chuo kikakuajiri! Hili ni tatizo sana kwa nini chuo kinakubaliana na udbs kutoa koz ambayo hawawezi kumuajiri mhitimu? Tunaomba majibu katika hili kwa kweli la sivyo waiondoe ama waiboreshe ama chuo kiajiri hao wahitimu wa hiyo kozi. Chuo kikiitambua itakuwa rahisi pia kutambulika rasmi popote. Majibu plz
   
Loading...