CBE Dodoma wagoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CBE Dodoma wagoma

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mpenda pombe, Mar 7, 2011.

 1. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Habari nilizozipata, huko Dodoma, wanafunzi wa Bachelor wote wamegoma fanya mitihani ya end of semister.. Kisa imetungiwa CBE dar..
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Vilaza hawatuhusu.
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Wakishagoma faida ya nani?? Waambieni waache ujinga huo kwani ikitungwa dar ni issue???
   
 4. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  nilidhani wamegoma kushinikiza serlkali ichukue hatua kuboresha elimu ya sekondary nchini, kupinga ongezeko la bei ya umeme na makli ya maisha kwa ujumla, malipo kwa dowans na mengine kama hayo, kumbe wanahofu kufeli mitihani!
   
 5. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanafunzi wanajuaje mtihani unakotoka na inawasaidia nini sasa ?
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hapo sasa ndo ujue ni upuuzi mtupu.
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  unajua kuna vyou vinabeba vilaza wengi sasa hao ni wasumbufu sana in Academic issues.
   
 8. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kwani kugoma si katika haki za msingi?! kama ilivyokuandamana na kulala barabarani!
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ishu ni kwamba unagomea nini ?mtihani kutungiwa Dar?ulitaka utungiwe LUDEWA?
   
 10. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  waache ujinga hao watoto bora ingekuwa wenzao wamezuiwa kufanya mtihani....
   
 11. S

  SeanJR Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa watoto vp? Fanyeni mitihani nyny acheni ulimbukeni! Mitihani inatungwa nje ya nchi sembuse dar kwa hapo dom! Mfano mimi nimesoma chuo cha Coventry university tawi la Tanzania makao makuu Uingereza mitihani yote inatungiwa Uingereza na 2napgwa lecture na lecturerz wa Tz!! Amka ww
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hawa naona ni vilaza sana. Lakini kuna mtu kauliza hapo juu hivi wamejuaje kama mtihani umetungwa Dar??

  Watoto wa siku hizi bana sijui wakoje vijinga jinga tu hovyo hovyo bila sababu.

  Tena ningekuwa mkuu wa chuo ningekwenda kutungia London kabisa.

  Vipuuzi sana hivi vitoto vishacheza disco zao huko havijasoma vinasingizia eti mtihani kutoka Dar INAHUUUU???
   
 13. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,173
  Likes Received: 1,177
  Trophy Points: 280
   
 14. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Pia nimepata habari mpya.. CBE Dar Mitihani imeahilishwa kwa kuvuja leo asubuhi... Ivo Bachelor wote haijulikani watafanya lini exams..
   
 15. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,084
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  cbe dar wanajulikana kwa kupenda club bills na wa cbe dom yao ni club 84. ikiwezekana hii mitihani yao ikatungiwe kwenye hizo clubs or in any other popular pubs in tanzania ndio hawatagoma. hawasomi wale,wanaleta ushalubaro na ushalushosti kwenye shule. rubish......................
   
 16. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Basi kwa maana hiyo wa Dodoma watakuwa wamegoma kwa sababu wanapinga kufanya mtihani uliovuja!
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wanyanganywe ata heshma ya kuwa chuo kwa level ya chuo unaanzaje kutungiwa mitihani na sister college kama ni mitihani michache sawa sasa yote?
  Inakuwa kama secondary kutungwa mitihani na NECTA
   
 18. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  vyou mmmh...sio vyuo kweli ama?
   
 19. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  vinaogoa kwani havijasoma hvyo vilikuwa vipo lolindo kwa yule babu anayetibu si mnajua tena ndo dawa hyo imegunduliwa ...
   
 20. k

  kifyoga b Member

  #20
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa ufahamu wa kawaida mtihani unatungiwa mahali husika chuo kilipo na mkufunzi husika katika fani husika hivyo sidhani kama kuna logic hapa, hao ni tu kutaka miteremko na pia cbe dar na cbe dom ni kitu kimoja ambao wanashare kila kitu so where is the problem. na pia ni suala la kutokufikiria maana hawajui gharama ya muda. lakini ndio hivyo hiyo ndio tz yetu
   
Loading...