Usanii mwingine

BrantCawen

Member
Nov 20, 2010
25
2
Waziri Elimu asimamisha mishahara ya walimu sekondari
Na Fredrick Katulanda, Kwimba

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Magreth Sitta, ameagiza kuwa mishahara ya walimu wote wa sekondari waliokwenda masomoni kabla ya kutimiza miaka miwili kazini, isimamishwe mara moja.

Agizo hilo alilitoa jana wilayani Kwimba kufuatia Mkuu wa Wilaya hiyo, Danhi Makanga, kumweleza Waziri Mkuu kuwa wilaya yake inakabiliwa na upungufu mkubwa wa walimu kutokana na wengi wao kuwa masomoni.

"Mheshimiwa, Waziri Mkuu, naomba nizungumzie suala hili la upungufu wa walimu 236 ...," alieleza Makanga.

Alisema hali ni mbaya katika sekondari ya Nera yenye mikondo 14 ambayo ina walimu wawili, hivyo kusababisha wanafunzi wa shule hiyo kuanzisha migomo kufanya fujo kudai walimu wa kuwafundisha.

Kufuatia taarifa hiyo, Waziri Sitta alisimama na kumuagiza Afisa Elimu wa mkoa na wasaidizi katika ofisi yake kufuatilia suala hilo ili shule hiyo ipate walimu haraka.

"Walimu hawa hawakupaswa kwenda kusoma mpaka baada ya miaka miwili, sasa kwa vile wamekiuka hilo naomba mishahara yao isitishwe mara moja," aliagiza Sitta.

Awali Makanga alisema katika wilaya yake jumla ya wanafunzi 8,575 wamefanya mtihani wa darasa la saba mwaka huu, ambapo matarajio ya watoto watakaofaulu ni 6860, sawa na asilimia 80 ambao watakaohitaji vyumba vya madarasa 172.__________________________
mother of the bride dresses
discount wedding dresses
mother of the groom dresses
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom