Walimu mmelala sana

super T

New Member
Mar 10, 2011
1
0
Hivi walimu tunaelewa haki zetu au hatuelelewi? Maana walimu tuko kimya sana. Na hawa jamaa zetu wa cwt hawaeleweki! Sijui kama wenzangu mnawaelewa!. Hivi mshahara wa mwalimu aliyemaliza digree kuwa chini ya mshahara wa mtu ambaye ana certificate ya nursing, hii mimi siieliwi. Sisemi kwamba watu wenye certificate ya nursing walipwe mshahara mdogo lahasha, bali nafikiri kwamba government ya tanzania jinsi inavopanga mishara sivyo.

MWALIMU MWENYE DEGREE AKITAKA KUINGIA DUKANI KUNUNUA KITU CHA LAKI 6, LAZIMA AKAKOPE NMB BANK KWANZA, VINGINEVYO LABDA UWE NA DILI ZAKO NYINGINE. SASA HAYA SIO MAISHA. AMKAAAAAA!!!!!!!!!!!!!

Nawashauri walimu hasa wa kidato cha tano na sita wa sayansi usikubali kuingia maabara na kuingia darasani kufundisha kwa mshahara wa shiling 338000. Take home.

Hakuna atakaeleta mabadiliko kama wewe mwenye mwalimu haujitambui.

By super t.
 
Back
Top Bottom