Naomba mwongozo nataka kumwandikia JPM barua

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,320
11,322
Habar za siku ya leo wanajamvi.
Kama heading inavosema naomba mwongozo ni njia zipi nifate kumwandikia Rais JPM barua.
Asanteni.
 
Tembelea website ya ikulu utapata anuani.
Vinginevyo labda kama unataka kumuandikia personal issue nikupe ID yake hapa JF umtumie PM kwanza
 
Nami nilitafuta sana anuani yake sijaipata! Ile ya kwenye website inaenda kwa watu wa press na hawakujibu nimetuma zaidi ya mara 5! Hata sijui hawaelewi wanijibu nifanyeje kumtumia Mh Rais email! Nimeshindwa kumpata! Nahitaji sana email yake!
 
Nenda ikulu uombe appointment ya kuonana naye na uwaeleze hoja yako, kama ni ya msingi utamuona yeye mwenyewe au utaelekezwa ukamuone nani badala yake
 
wazo zuri,
Unanikumbusha Msichana mdogo aliyemuandikia barua ABRAHAM LINCOLN iliyobadilisha appearance yake hadi siku alipofariki.

Rais alikuwa anasumbuka na muonekano wa sura yake. Kwa kugundua hilo huyo dada alimuandikia barua kumshauri ili aonekane vizuri inabidi asinyoe ndevu. Tangu siku hiyo rais hakuwahi kunyoa ndevu zote, Ikumbukwe alikuwa na sura mbaya sana huyu jamaa pamoja na ugeneous wake.

Usikate tamaa, Unaweza kuponya taifa hili kwa BARUA tu. Inabidi waache urasimu rais wetu apokee mawazo kwa njia mbalimbali.
 
Back
Top Bottom