Msaada shule ya Kanyigo (KADEA)

sundoka

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
2,067
2,757
Poleni na majukumu wakuu,

Naomba msaada juu ya hii shule ya Kanyigo Secondary School. Naomba nijue kuhusu vifuatavyo:
1. Vigezo vya kujiunga kidato cha 1
2. Ada sh ngapi? (Kwa boarding)
3. Mawasiliano ya shule (namba za simu)

Mchango wowote yakinifu nitashukuru.
 
Nimegoogle sijaona mkuu
Ndo natafuta hivi mkuu. Huku pia si kuna watu? Sasa mtaani hapa Dar nitaanzia wapi? Au nbandike kibao mlangoni? Kama unaemjua aliyemalizia hapo nisaidie contact mkuu
 
Jaribu hiyo namba ya headmaster 0768165819, naamini utapata msaada zaidi!
 
Poleni na majukumu wakuu,

Naomba msaada juu ya hii shule ya Kanyigo Secondary School. Naomba nijue kuhusu vifuatavyo:
1. Vigezo vya kujiunga kidato cha 1
2. Ada sh ngapi? (Kwa boarding)
3. Mawasiliano ya shule (namba za simu)

Mchango wowote yakinifu nitashukuru.
Jaribu 0768165819 ni namba ya headmaster wa Kanyigo sec.
 
Back
Top Bottom