Tarehe 3/3/2016 binti yangu anayesoma mawenzi sekondari moshi alirudishwa nyumbani akiwa na barua ya uongozi wa shule iliyonihitaji niende shuleni hapo kujadiliana na waalimu juu ya maendeleo na...
Ndugu Wana Jukwaa,
Mimi ni mfanyakazi wa benki moja hapa nchini., nataka kufanya hii mitihani ya Tanzania Institute of Bankers ili nipate cheti cha Certified Professional Banker "CPB" kwa ambaye...
Habar wanajamii,, kuna tuliozoea kutuma maombi kwa ajil ya nafasi za masomo katika vyuo mbalimbali vya kilimo vingi vinavyotoa general agriculture mfano uyole,, ilonga,, ukiluguru,, tumbi...
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana (2015) na amepata division one ya point 12 na angependa sana kuwa daktari. Sasa naombeni ushauri wenu wakuu, ipi ni njia sahihi kwake maana kuna...
Habari wanaJF,
Katika pitapita zangu huko youtube nimekutana na video ya mwalimu mmoja wa huko India akionyesha namna ya kufanya hesabu kwa njia mbalibali na kwa ubunifu mkubwa kitu ambacho...
Wadau naomba kujuzwa kuhusu Veta, nasikia ukisoma miaka mitatu ukifaulu mtihani wa CBA unaweza kwenda kusoma uinjinia katika vyuo vya tech kama DIT, nashukuru kama mtanijuza vizuri.
Mm ni mwanafunz wa chuo kikuu mzumbe mwaka wa tatu nategemea nisome masters pindi tu nikimaliza shahada yangu ya kwanza....naomba tupeane procedure za kutafuta sponsors au kama kuna mtu anaweza...
Wakuu kwanza kabisa poleni na majukumu...
Naomba kuuliza ni vigezo gani uangaliwa ktk kuchambua ubora wa elimu baina ya nchi na nchi??.. Mfano utasikia elimu ya nchi A ina ubora kuliko nchi B
Habari ambaye ana mawasiliano na chuo cha veta nyakato mwanza kwa upande wa uongozi wa chuo anisaidie plz au kama kuna anayejua long course ambazo zinatolewa hapo chuoni ni kozi zipi anisaidie na...
NDUGU ZANGU
MIMI NIMEMALIZA CKU NYINGI KIDOGO FORM IV..! SKUFANIKIWA KUENDELEA COZ COMBI HAIKUBALANCE LAKINI NILIBAHATIKA KUPATA CREDIT 3.! NINGEWEZA KUSOMA SHULE ZA BINAFSI NILIKWAMISHWA KIFEDHA...
Habari zenu wakuu,
Nimekuja humu kuomba ushauri wa kitaaluma maana nafahamu humu kuna watu wenye uzoefu na wenye uwezo wa kuniongoza katika hili.
Nimehitimu chuo mwaka jana, tokea muda mrefu...
UTANGULIZI
Malkia wa Nguvu, Madam Faraja Kotta Nyalandu, mnamo tarehe 18.03.2016 alizindua rasmi huduma ya elimu itakayokuwa ikipatikana kwa njia ya simu ya mkononi kwa wanafunzi wa shule za...
Wakuu Application za postgraduate za UDSM zishatoka. Application mwisho 13/5/2016. Pamoja na mambo mengine wanatakiwa Referees watatu. Je, hawa lazima wawe kati ya wale waliokufundisha BACHELOR...
Pengine serikali ina nia njema,lakini imeshindwa kujipanga kwanza badala yake suala hili limepelekwa kwa mihemko ya kisiasa. Serikali inatoa fedha zilizokuwa zikilipwa kwaajili ya ada ya shule...
Swila Sekondari iliyopo Mbalizi jijini Mbeya haijasajiliwa kama shule ya kidini kwa maana ya religious school, imesajiliwa kama secular school lakini wanafunzi wote wanaosoma shule hiyo...
Wadau! Ipi kati ya hizo itanifaa zaidi kwani nategemea kuanza kufanya mitihani ya moja wapo. Kitaaluma nina shahada ya elimu na post graduate diploma in procurement and logistics management.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.