Arusha Institute of Accountancy: Msaada tafadhali

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,424
Tafadhali naomba kujua namna kujiunga na certificate in accountancy (how to make application) Institute of Accountancy Arusha unafanyaje. CAS NACTE naona haipo ceritificate kuna diploma za afya, certificate za afya na ualimu. Please assist, I am fighting with deadline.
 
Duuh son ulikua wap nadhani leo ndo mwisho saa kumi alhasiri na kma application form unazipata hapa
www.iaa.ac.tz
minimum entry requirements zao ni THREE passes(3 D's) na maelezo zaid web yao hiyo mdaa bado
 
Asante, nadhani deadline ni tarehe 31 May. Sasa si una-apply online kupitia NACTE, kuna kujaza fomu tena. Please assist
 
Duuh son ulikua wap nadhani leo ndo mwisho saa kumi alhasiri na kma application form unazipata hapa
www.iaa.ac.tz
minimum entry requirements zao ni THREE passes(3 D's) na maelezo zaid web yao hiyo mdaa bado
Narudi kwako tena, Tarehe 31 March ni campus za Mwanza, Babati and Dar es salaam. Arusha campus iko kifungu gani? Nimejaribu kujaza online naona kama inakubali sijui ni sawa au kuna kitu sikijui.
 
Back
Top Bottom