balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,690
- 13,578
Nisaidieni jaman
Nataka wale wanaoishi kama malaika waishi kama shetani. Hii kauli sijaielewa serious!!
i. Kimantinki ina maana gani?
ii. Kimazingira context ana maanisha nni?
iii. Wale wa humanistic approach mumeelewaje?
Jaman asali tamu ila manundu nayo huwa yanatokeaga
Nawasilisha