ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,923
- 6,932
Wanabodi,
Niko naangalia taarifa ya hbr hapa TBC, ukarabati wa mabweni ya shule ya secondary Iyunga mbeya yaliyoungua unaendelea kwa kasi. Wadau mbalimbali wamechangia kukamilisha ukarabati huo.
Sasa sijui ni kosa la mkurugenzi wa tbc au ndo ukweli halisi. Katika wadau waliotoa michango yao, sijasikia mchango wa mh. rais wa jiji la Mbeya-Sugu.
Siasa ni mchezo wa timing. Ni kweli pamoja na athari hizo zilizojitokeza, mbunge wa eneo husika hajatoa chochote?
Mbeya saidieni