sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
WanaJamvi habari zenu,
Mimi nilikuwa miongoni mwa wanafunzi tuliosoma AZABOY enzi hizo. Jamani nimepita pale jana kumsalimia mwalimu wangu mmoja jina kapuni, nimekuta shule ukiingia tu mlangoni inanuka kinyesi, shule majengo yamechakaa, nikauliza kiwango cha ufaulu pale nikaambiwa kuwa kimeshuka mara kumi tangu nilipomaliza mimi, wakati sina hata miaka 8 tangu nitoke pale.
Nikauliza mkuu wa shule, maana mimi nilisoma enzi za mzee Kwayu, leo hii eti mkuu wa shule ni yule mpiga muhuri enzi hizo? Mfupi, mweusi, simkumbuki jina, kibaya zaidi alisoma pale anashindwaje kuiendeleza shule aliyosoma?
Mbona watanzania tunakuwa na roho mbaya kiasi hiki? Yeye kama angesoma pale wakati majengo yananuka kinyesi kama leo hii hata hiyo nafasi ya kuwa mpiga mihuri kipindi kile angeipata?
Najua ukuu atakuwa ameupata kipindi cha Njomba Nkwere, hakuna shida maana kipindi kile ambaye hajapanda cheo jua hajasoma mjini.
Naombeni kama mpo humu wana Aza boy. Tukutane tuikumbuke shule yetu. Huyu mkuu aondolewe haraka. Kaka Magu anza na mkuu huyu hafai!
Nimembiwa tangu awe mkuu amenunua magari kibao, majumba, lakini shule kila kukicha maziro yanaongezeka. Shame on you MwanaAzaboy unayetuangusha!