Computer Science vs Procurement

Ilambo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
475
88
Kati ya kozi hizo mbili ni ipi ukiajiriwa serikalini ina mshahara mkubwa kuliko nyingine?

Na je mshahara ni shilingi ngapi kwa zote Computer science na Procurement?
 
Aisee kwa style hii ebu rudi kujijini ukapige jembe yani unataka uchaguliwe course kwa ngazi ya bachelor? ivi wasomi wetu mnasomea ujinga huko vyuoni?
 
Back
Top Bottom