Kwani leo hii si kitu hicho hicho ndo huwa kinafundishwa mashuleni mwetu?? Au umeweka attention yako kwenye hiyo picha kuliko ujumbe(Message)?
Haya ya kumemorise ni elimu ya zamani?? Form one hadi form six mfumo ukoje???..... Atakaetoka ni aliemeza, hiyo ndiyo sylubus ya form one hadi six ilivyo!!!No no ndiyo maana tunafundishwa critical analysis, hayo ya kumemorise ni elimu ya kizamani. Lakini si kila mtu anavuna alichopanda shule.