MBA-Mwenge University

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
4,179
6,238
Wakuu, naombeni ushauri nataka nisome MBA ya hiko chuo cha Moshi vipi kuhusu ubora wa hiki chuo, na credibility yake?
 
hivo vyuo vya mchangani me cnaga imani navyo..ebu jaribu pale muccobs ingawa ni walewale tu sema wanazidiana kidogo
 
hivo vyuo vya mchangani me cnaga imani navyo..ebu jaribu pale muccobs ingawa ni walewale tu sema wanazidiana kidogo

Wewe ndio wa mchangani naona hata haupo updated. Muccobs hatunayo tena.

Mwenge ni chuo kizuri sana acha kukariri.
 
hivo vyuo vya mchangani me cnaga imani navyo..ebu jaribu pale muccobs ingawa ni walewale tu sema wanazidiana kidogo
Vyuo vya mchangani ndiyo vipoje na ni vyuo kama vipi.? Ungetutajia sifa zake kidogo ili tuvijue
 
msichukie watu wanaoponda badala yakumsaidia mtoa mada wako stressed alisoma chuo chenye jina akijua atang'ang'aniwa ikawa visevesa lazima tu ubongo ushake.

Mtoa mada Mwenge ni chuo kizuri sana watajitahidi kutoa elimu bora nenda tu
 
Mkuu ulisoma hapo??
 
hivo vyuo vya mchangani me cnaga imani navyo..ebu jaribu pale muccobs ingawa ni walewale tu sema wanazidiana kidogo[/QUOTE

perry cjui unashda gani? juz hapa umetoka kumzodoa jamaa aliye kuwa anatafta wafanyakazi kwenye cafe yake, Leo unasema eti ni CHUO cha mchangani? hiv we umesoma wapi? je hicho CHUO ulichosoma kimekusaidia kias gani hadi sasa, as far ni chuo, INA maana hakina shda. tumsaidie mwenzetu apate taarifa muhimu.
 
Back
Top Bottom