GPA ya UDSM ni ngapi?

stone boy

Senior Member
Dec 25, 2015
107
19
Habari zenu wana JF naomba nayefahamu anisaidie ni GPA ya ngapi inayohitaji ili mtu ajiunge na chuo kikuu.

Mtu kama amemaliza diploma ya elimu.

Asanteni.
 
Kila chuo kina GPA yake..ila ili kupata chuo ukitakacho make sure una GPA ya kuanzia 2.7..
Ila kwa UDSM ni 3.5
 
Nashukru ndugu ila nasikia kuna vingine vipo chini ya 2.7 hili vipi?
 
VIPO vingi sana kama OUT na vingne vingi. Ila ukitaka kusoma chuo cha ndoto yako basi make sure una B 12 AU GPA YA 2.7

hapo utakuwa umefanikiwa kusoma chuo ukitakacho
 
Back
Top Bottom