Gozaka
Member
- Aug 29, 2012
- 67
- 43
Habar wana jamii , nilikua naomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya waliohairisha mwaka .... Mimi nmesoma PCB na nmemalza form six mwaka 2015... Then nikasafirig , nlivyorud nkakuta watu walishaapplygi na adi washapangiwa vyuo ..... Na vyuo vya afya vikawa vimeshajaa kwa ule mda , asa kuna MTU akanishauri niapply Chuo chochot afu nikishapangiwa nije kufanya transfer mda ukifika ..... Nkapangiwaga SUA , ...
Mda wa transfer ulivyofika Chuo cha afya ambacho nilikikuta kilikua Kampala international university.... Mimi sikukipenda kwa sababu ya fees na reputation yake...... Ndo nkaamua kuhairisha mwaka ...... Currently nafnya Kaz kwenye NGO fulan hv ....
Sasa nilikua nataka kujua nifanyaje ili niweze kuapply tena TCU kwenye intake ya mwaka huu .... Kwasababu TCU profile yangu bado imeweka selected to SUA........
Na kuhusu mkopo nahitajika kuapply tena , coz nilipata lakin sikuenda SUA....
Asanteni wakuu.