nasssen JF-Expert Member Aug 12, 2012 483 508 Apr 12, 2016 #1 Wanajamvi mimi nilitaka kujua kwa mfano kwa hapa UDSM, ukiwa Tutorial Assistant mshahara unaanzia kias gani? Ni hilo tu....
Wanajamvi mimi nilitaka kujua kwa mfano kwa hapa UDSM, ukiwa Tutorial Assistant mshahara unaanzia kias gani? Ni hilo tu....
trigeminal JF-Expert Member Jan 9, 2015 1,930 2,235 Apr 12, 2016 #2 Watafte hao TA's wa hapo uwaulize
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 19,522 15,144 Apr 13, 2016 #4 ODILI SAMALU said: 1,600,000/- Click to expand... aiss wanakula hela ndefu kumbe!!je ma dr?maana kuna mmoja tunakunywaga naye bia hapa DDC mlimani kila siku hakosi...
ODILI SAMALU said: 1,600,000/- Click to expand... aiss wanakula hela ndefu kumbe!!je ma dr?maana kuna mmoja tunakunywaga naye bia hapa DDC mlimani kila siku hakosi...
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 19,522 15,144 Apr 14, 2016 #7 Ruddism said: Si kweli Click to expand... Ukweli ni upi Ruddism
gwabata Member Feb 21, 2016 32 22 Apr 14, 2016 #9 ODILI SAMALU said: 1,600,000/- Click to expand... Mmmmh kama TA ni hiyo na assistance lecture !?
O ODILI SAMALU JF-Expert Member Dec 13, 2013 1,369 489 Apr 14, 2016 #10 Assistant lecturer sijui, Ila ngoja niulize ntakwambia