Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 991
Walimu wa science karibu asilimia 99 kama sio mia wanatamani kuachana na degree zao za Baed na kuanza upya courses za afya hata kwa ngazi ya cheti. Walimu hawa wamekuwa wakifanya kazi huku akili zao zote zikiwaza kwenda kozi za afya si kwa mapenzi yao but ni mishahara ndo inawapeleka.
Sasa wakuu wakati mnamaliza six na kukwama kupata cut off point za kuingia Md,Pharmacy au Nursing hamkuona hilo wazo la kutumia o-level certificate zenu kujiunga health institute?
Kama mlikuwa na ndoto za kuwa madaktari au wauguzi mlikimbilia nini degree za baed au ni kwa vile mkopo ni 100℅? Sasa mpo makazini mtu wa kada ya afya certificate mnapokea nae same salary na wewe wa bachelor na aki update diploma ujue anakupiga gape kwanini ujisikie ovyo na machaguzi yako?
Ebu jifunzeni kupenda kazi zenu na kusomea kile unapenda hata kama itakuwa kwa kurudia au kupitia magumu yapi ukitoboa kwa ukipendacho hakika uta enjoy kazini.