Naombeni ushauri wa kureseat form 6

LUCAS MPILUKA

Member
Dec 22, 2015
21
2
Mi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2011,,na nilifeli kwa kupata div IV-18 HGK. Sasa nahitaj kurudia mtihan mwakan may 2017, je naweza kuvuka hapo,, nahitaj msaada wenu wa kimawazo...AHSANTENI SANA
 
Kiukweli huwezi kuvuka kwasababu mind yako imeshaweka doubts hivo itakupelekea kukwama
 
Ulipomaliza 2011, ungeweza kuanza certificate level kwa chet chako cha form four kisha Diploma, leo ungekuwa level ya degree mwaka wa kwanza au wa pili. Lakin hakijaharibika kitu, weka jitihada utafanikiwa na jiamini pia. Ukiambiwa huwezi usione huwezi kweli, jiongeze na ujaribu.
 
Ahsantee sana kwa ushaur wako,,Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom