Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Naomba ushauri, mimi ni mwalimu graduate wa BAED-HK na ninahitaji kusoma kozi nyingine mf; accountancy kwa post graduate au nyingine yoyote. Lengo ni kusoma kada ambayo baada ya kumaliza kuisoma nipate wepesi wa kupata recategorization toka kwa mkurugenzi bila kuathiri muda wangu wa utumishi serikalini. Zaidi pia nahitaji kusoma evening program mana sina ruhusa. Nipo mwanza.
Ushauri ninaohitaji ni kozi ipi ipo marketable ikizingatiwa kuwa mimi ni mwajiriwa wa serikali na ninataka nibaki serikalini. Nakaribisha ushauri. Nipo Mwanza jiji.
Ushauri ninaohitaji ni kozi ipi ipo marketable ikizingatiwa kuwa mimi ni mwajiriwa wa serikali na ninataka nibaki serikalini. Nakaribisha ushauri. Nipo Mwanza jiji.