Naomba ufafanuzi

makua

JF-Expert Member
Dec 9, 2013
208
39
Habar jf.
Naomba ufafanuzi ili nijue mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu kwa wenye diploma wanaohitaji kujiunga na chuo kikuu.

Pia nahitaji kubadili kozi, kutoka marketing kwenda education je, hii nayo ikoje?

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom