Combination gan unasoma?Kwa sasa nipo form six
kombi gani unasoma?Kwa sasa nipo form six
hahaha
labda kama kuna vyuo vinavyokubali arts kusoma CS, ila kwa masomo yako kidogo ni ngumu,
mkuu kuna mtu namfahamu kasoma HGL lakini leo ana masters ya computer sciencelabda kama kuna vyuo vinavyokubali arts kusoma CS, ila kwa masomo yako kidogo ni ngumu,
kanoa huyu dogo jamani ... ila IT ina level tofautiv tofauti