Msaada jinsi ya kuandika report baada ya field

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
habari wakuu
binamu yangu amemaliza field yake ya chuo na amefanyia huku huku nyumbani kwenye kijiji fulani

Sasa anataka kuandika report aende nayo chuo jee afuate procedure gani?

Anadai hawajafundishwa chuoni monduli maendeleo ya jamii

Kwa anaejua msaidieni please
 
Awasiliane na msimamizi wake aombe ushauri. Kama ana msimamizi mzuri atamsaidia-vinginevyo kama anamjua aliyemaliza hapo chuoni kwao aombe ushauri ili aandike ingawapo zero draft. Report huandikwa kwa style tofauti kutegemea na aina ya kazi iliyofanywa, chuo etc ndio msingi wa ushauri niliotoa.
 
Back
Top Bottom