Msaada kuhusu THL

boyson onlye

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
1,108
1,397
Habari wana jamvi bila shaka ni wazima wa afya
Ninahitaji msaada/ninaswali kuhusu hii application mpya ya kutoa notes za masomo yasiyopungua kumi na mbili (12) inayoitwa thl for secondary.

Kwa wadau wa elimu naamini mnaifahamu. Na mnafahamu utartibu wa mfumo wa elimu wa nchi yetu

Swali je thl for secondary imeidhinishwa na baraza la elimu tanzania yaani baraza la elimu limekagua zile notes na kutoa ruhusa ya kuingizwa sokoni kwa ajili ya kujifunza kwa wanafunzi

Kwa wadau waliowai kuzifatilia je zinafaa kutumika kwa ajili ya kujifunzia hazina shida yoyote

Thl inatoa notes kuanzia form one to six
Naomba mniondoe wasiwasi
 
Kwani e-learning zote za online zimethibitshwa kama unavyosema, we angalia km zinakufaa tumia otherwise jiongeze kwenye other sources of materials...
 
Nisahihi hiyo IPO kama vitabu viko vingi, vingine vimechimba sana mada na vingine viko sharo
 
THL kweli imejaribu kusimplify maisha ya wakusoma na ata walimu katika kusummarize topic lkn bado walimu wasitegee Kwa ndo every thing, otherwise cjajua issue ya publication yao kama inatambulika na ministry of education
 
Back
Top Bottom