Udeep wa mtu unapatikana akienda kupata ujuzi Field na sio chuoni
Chuoni haufundishwi pratically kutengeneza Barabara wala kutengeneza Majengo huko vyuoni ni Theory tu kwa sana
Vyote sawa tu ila civil dit ndo department inayoongoza kwa lectures wakongwe na wazee wa Ku complicate wakiongozwa na Dr singo
so wameifanya civil ya dit kuwa ngumu
NB:graduates wa dit wanapendwa zaid na waajir kutokana na umaarufu,ila u deep wa mtu ni yeye mwenyew sio chuo
Hata must civil wapo vizuri na wana mpango wa kuanzisha masters na phd mwakani nadhani wana walimu wengi pia kwenye iyo fani jaribu kupitia kwenye page yao facebook na website yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.