Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Habari za mchna wandugu.
Naomba mwenye vitabu vifuatavyo(au chochote kati ya hivyo) kwa soft copy anisaidie, nina dogo ana-reseat.
1. Vuta nikuvute
2. Morani
3. Kwenye ukingo wa thim.
4. Fungate ya uhuru
5. Kufikirika
Natanguliza shukrani zangu kwenu Wakuu.