Natokea St Joseph University, naomba msaada waungwana

shizo mkax

Senior Member
Feb 5, 2015
190
39
Habari wanajamii.
Mimi nilikuwa mwanafunzi wa St Joseph University arusha campus. Baada ya chuo kufutwa nimehamishiwa Marian university bagamoyo. Kwa bahati mbaya sina pesa ya kufanya registration ambayo ni 550000 hivyo nikaamua nipostpone mpaka mwakani.
Je naweza kufanya hivyo bila kufanya registration?
 
kwani hakuna jinsi ya kuomba kwa wasamalia msaada wa hizo hela kuliko kufanya hivyo
 
Hivi walipokifunga kile chuo hawakujua sehemu ya kuwapeleka wanafunzi? Lakini suala hili lipo kisheria zaidi. Mwenye chuo anatakiwa ashtakiwe na kulipa fidia haiwezekani mtu akaanzisha chuo na kushindwa kutoa huduma aliyoahidi kuitoa halafu aachwe hivihivi.
Mnaweza kuangalia utaratibu wa kumuona mwanasheria ili aweze kuwatetea na kuipata haki yenu ya kupata elimu kama mlivyoahidiwa na mamlaka za kiserikali.
 
Habari wanajamii.
Mimi nilikuwa mwanafunzi wa St Joseph University arusha campus. Baada ya chuo kufutwa nimehamishiwa Marian university bagamoyo. Kwa bahati mbaya sina pesa ya kufanya registration ambayo ni 550000 hivyo nikaamua nipostpone mpaka mwakani.
Je naweza kufanya hivyo bila kufanya registration?
Duh pole sana ila navyojua uki register ndio unaruhusiwa ku postpond
 
Daaah hii fani inaakili sana. Anyway komaa ila sikushauri ku-postpone. Vita ikiwa mbele pigana tu
 
Dah ....iliwahi kunikuta semister moja ambayo wazaz hawakuwa na ada ya semister...ukiangalia sina mkopo.

Niliweka bond baadhi ya property kama PC mwezi ulofuata nikapata mkopo nilioapeal ..so nikasort out...

Hata mm sikushaur kupostpone ndugu yangu
 
Sasa ndugu yangu kwanini uprespone wakati waweza kuomba msaada Kwa ndugu na jamaa wakakusaidia icho kiasi, uckate tamaa mapema bado unaweza kuendelea na masomo yako
 
Sasa ndugu yangu kwanini uprespone wakati waweza kuomba msaada Kwa ndugu na jamaa wakakusaidia icho kiasi, uckate tamaa mapema bado unaweza kuendelea na masomo yako
Kwa hakika hilo lingekuwa suluhisho lakini mpaka nafikia kuomba ushauri hapa basi ni kwa sababu nimeshindwa kupata hicho kiasi kwa watu hao uliowataja
 
Ninavyojua kama upo mwaka wa kwanza unaweza kupostpone bila kufanya registration lkn sasa itakubid uanze kuomba upya tcu kama wengine maana utakuwa haupo kwenye data base ya chuo na tcu so kama.unaweza kuanza process za kuomba upya sawa tu
 
Back
Top Bottom