Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
SERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli imeahidi na kuanza utekelezaji wa kutoa elimu bure kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha nne.
Hatua hii ni nzuri kwa Watanzania walio wengi bila shaka kwa sababu inatoa fursa kwa watoto wote kupata elimu hiyo, wakiwemo wale ambao wangeshindwa kutokana na changamoto ya ufukara na mambo mengine kama hayo.
Lakini swali kubwa la kujiuliza hapa ni kwamba...
Kwa habari zaidi, soma hapa => Elimu bure italeta tija kwa Tanzania? | Fikra Pevu