hongera kwa kuchaguliwa chuo cha bumbuli ni chuo bora na kikongwe,chuo kipo tanga wilaya ya lushoto,panda magari yaendayo lushoto utashuka kituo kinachoitwa soni usiende mpka lushoto kabisa,"shuka SONI utakuta noah zinazoenda bumbuli.
ukifika bumbuli mwisho utachukua boda boda utawaambia wakupeleke chuo cha bumbuli cotc/matc au hosptal ya bumbuli.
NB:ubungo kuna magari 3 tu yaendayo mpka bumbuli kabisa ila ni machache ambayo ni MLOLA,NAJIMS
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.