Walimu wote wa dsm leo wanahahakikiwa mnazi

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
179
Walimu wote dsm leo full kuhakikiwa mnazi mmoja s/m hakuna mchezo watumishi hewa waishe kabisa.

Fika uhakikiwe kama ni mwl wa s/m
 
Sisi wa sekondari hakuna watumishi hewa maana hakuna taarifa ya kuhakikiwa
 
Sorry wasecondari sina uhakika ila nao inasemekana wanatakiwa huhakikiwa leo leo fanya usogee mnazi mmoja
 
Walimu bna sisi kada zingine tunafatwa maofisini huku tukila kiyoyozi na uhakiki ukiendelea sasa walimu mara mpange foleni nmb apo jua kali leo mnaitwa mnazi mkawekwe msululu kama msubiri dawa za matende na mabusha
 
Back
Top Bottom