Ukwelibusara Member Joined Apr 8, 2016 Posts 30 Reaction score 7 Apr 23, 2016 #1 Rejea mada tajwa, natafuta shule ya private ya kiislam kwa mvulana, please ukinifahamisha naomba unitajie na ada yake.
Rejea mada tajwa, natafuta shule ya private ya kiislam kwa mvulana, please ukinifahamisha naomba unitajie na ada yake.
Zurie Platinum Member Joined Jul 6, 2014 Posts 2,087 Reaction score 5,955 Apr 25, 2016 #2 Kuna Baobab pale Bagamoyo, si ya kiislam exactly lakini ina mazingira friendly kwa waislamu kama kuruhusiwa kuswali na kadhalika.
Kuna Baobab pale Bagamoyo, si ya kiislam exactly lakini ina mazingira friendly kwa waislamu kama kuruhusiwa kuswali na kadhalika.
Ombudsman JF-Expert Member Joined Apr 18, 2012 Posts 3,565 Reaction score 3,737 Apr 25, 2016 #3 Kirinjiko iko same
Mainus JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 295 Reaction score 238 Apr 25, 2016 #5 KISS ACADEMIC,Same ,Kilimanjaro