Idara ya malipo bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu ni jipu linalotakiwa kutumbuliwa.

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Ndugu wana jamvi ,Naandika kwa masikitiko makubwa sana Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza ambae mkopo wangu ulienda udsm wakati nimechaguliwa chuo kingine Cha ajabu mpaka ninavoandika uzi huu sijafanikiwa kupata pesa yangu ile Qurtor ya kwanza iliyoenda udsm.



Wiki lililopita nilifatilia Bodi nikaenda hiii sehem wapo hawa watu wa malipo ghorofa ya kwanza wapo ofci Moja kama 5 but nilisikitika sana kwa majibu yao waliyonipa wakiongozwa na kiongozi wao wa hiyo idara kaka mmoja mweusi .

Mimi nilimuuliza mdada mmoja lini mtanipa pesa yangu alichonijibu sikupendezwa nacho anajibu Sijui.

Imeniuma sana nikamubia nimeisubiri pesa hiii mda mrefu sana takribani 5 moth kwa nini huniambii muda, muafaka wa kupata pesa yangu alichonijibu Sijui.

Kuna jamaa alikuwepo mule ni ::bosi wao nilishafanya utafiti katika hicho chumba si mnene wala mwembamba ni MW:EUSI aliniambia kwa kejeli hata sisi hatujui utapata lini hii pesa .

Imeniuma sana kweli hela yangu ikae miezi mitano haijanifikia inafanya kazi gan?Hapa kuna namna.

Kila siku majibu yao subiri ..... ...
Time will tell
Am done
 
Back
Top Bottom