Baada ya CAG kugudua haya maajabu natamani nisomee hii professional, hii elimu ni zaidi hata ya usalama wa taifa.
CAG AIBUA JIPU LA KIHISTORIA.
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema ukaguzi wao umebaini kuna dawa zenye thamani ya shilingi bilioni 2 zinaonekana zipo njiani toka Bohari kuu ya Madawa (MSD) iliyopo Keko Dsm kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Upanga tangu May mwaka 2012. Dawa hizo hazijafika hospitali ya Taifa ya Muhimbili hadi leo hii ikiwa ni muda wa miaka miaka 4!!
Hii ni safari ndefu sana ya dawa kuliko zote Duniani!!
Haya maajabu yako tz tu!