M mtanzania10 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 271 Reaction score 81 Apr 23, 2016 #1 Hivi Sisi Tulio Ajiriwa 2012 mkoa wa kigoma kuna mtu ameona badiliko kwenye mshahara wa mwezi huu
L lolowapi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 1,135 Reaction score 490 Apr 23, 2016 #2 Ndio kwangu imeongezeka 12000
K Keben JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 725 Reaction score 178 Apr 23, 2016 #3 lolowapi said: Ndio kwangu imeongezeka 12000 Click to expand... 12000? fafanua mkuu
T Tukwa JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 330 Reaction score 80 Apr 23, 2016 #4 Inatakiwa kuwa na usawa wa kupanda madara Tanzania nzima,kusiwe na utofauti wa halmashauri moja na nyingine
Inatakiwa kuwa na usawa wa kupanda madara Tanzania nzima,kusiwe na utofauti wa halmashauri moja na nyingine