Wakuu naomba kuuliza hili swala la uchangishaji wa pesa mashuleni maana kuna shule ipo mkoani iringa "malangali boys secondary school" sijaelewa lengo la mkuu wa shule hiyo kuwalazimisha wadogo...
Ni miaka mingi sana nchi yetu haijafanikiwa kutatua moja kwa moja uhaba wa walimu nchini, zaidi walimu wapya wameendelea kuajiriwa kila mwaka na idadi wa walimu tarajali imeongezeka siku hadi...
Kwanza natoa pongezi kwa raisi wetu kuhakikisha mapato na matumizi ya nchi kwa kila mwezi huwa yanatolewa hadharani ingawa mwezi huu taarifa yake imechelewa ila ni matumaini yangu itakuja soon...
Best wishes kwa form 6 wote. Mungu awatangulie katika mitihani yenu. Hakika haikuwa safari ndogo kumaliza vidato sita ambavyo mlivianza mwaka 2010 ,sisi tupo pamoja nanyi bega bega na tunawaombea...
Habari zenu,
Wakuu naomba mwenye kusoma katika vyuo vifuatavyo NATIONAL METEOROLOGY TRAINING CENTRE na MATI- UYOLE au aliyemaliza aniPM au anitafute kupitia 0657208660 .
Kuna kitu nahitaji kujuzwa
Kuna jamaa yangu amemaliza diploma ya ualimu anataka kusoma degree sasa ameshafanya malipo nacte akiingia kwenye option ya kuchagua vyuo vipo vyuo vichache anavyotaka yeye havipo mfano DUCE, UDOM...
Ile shule kongwe inayoongozwa na bepari moja la kihaya hapa mjini walimu wake wote mishahara anawalipa dirishani na si kwa kupeleka benki imethibitishwa.
Najua waziri wa elimu mama Joyce...
Heshima yenu wakuu.
Elimu yangu ni diploma ya ualimu,
Ninafanya kazi ya kufundisha katika shule ya binafsi kwa miezi kadhaa,
Ingawa idadi ya wanafunzi ni Kubwa na vipindi kuwa vingi sana, malipo...
habari zenu ndugu zangu,napenda kufahamu kutoka kwenu kuhusiana na higher diploma in science and mathematics itolewayo kwenye vyuo mbalimbali vya ualimu. 1.je hii ni kozi ya miaka...
Habari zenu Wakuu!!!!
Niiingie moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu,
Kama umeshawai kuchunguza kwa watoto wanaosoma, ( either ni secondary or primary) ukiwauliza moja baada ya mwingne kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.