Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari! Je umechaguliwa chuo Jordan? Ungependa kupanga chumba? Usijali vyumba vipo vyenye hadhi ya wanafunzi wa vyuo kwa bei nzuri! Nicheki kupitia 0762494688 tukutane nkakuoneshe chumba!
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Naomba Msaada Wakuu, CD za Tamthilia ya Ngoswe na Kilio Chetu. Nipo Dar, Nitashkuru Sana Kama Nitaelekezwa Wapi Nitapata CD (Vikiwa Vimeigizwa- Stage Perfomance au Drama) za Hivi Vitabu Hivi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nina GPA ya 2.7 Dip ya Ed. Nitapata chuo? Masomo Bios na Geo. Mnisaidie maelezo mliosoma equivalent qualification.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nahitaji scholarship kufanya masters ya sayansi, mwenye information yyte pls pm
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wanajamii forum,naomba msaada kwa mwenye notes za olevel particularly mathematics naomba anitumie kupitia email au hata kwa ku upload hapa hapa ili woote wenye shida kama yangu wazikute apa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu Lengo la kuanzisha thread hii kwa wadau wa elimu kuwasaidia vijana wa secondary kwa uchaguzi wa combination sahihi ambazo mbeleni zitawasaidia kupata ajira hivyo ningeomba pindi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Naombeni kueleweshwa juu ya hili, mimi ni mwanafunzi wa diploma ya ualimu wa shule za msingi, nipo mwaka wa kwanza, niliishia kidato cha nne. Sasa nataka michakato ya mikopo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nds Sex web.mzumbe.ac.tz/ This site may be hacked. ... Sweat Wristbands Index Index Of Porn Professor Sexual Harassment In UniversityGirl Getting Fucked Photos Sexual Positions Women Like Adult...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ina semekana mfubao wa elimu nchi unasababishwa na wanaojiita wasomi wa UDSM kuwa na chuki za kipumbavu na mentality mfuu iliyojengeka vichwani mwao. Mfano wasomi wa UDSM wamekuwa na tabia ya...
1 Reactions
244 Replies
41K Views
Habari zenu wadau, Naombeni ushauri juu ya hizo kozi hapo chini 1.Hydrology and meteorology 2.Water supply and sanitation Eng 3.Irrigation Engineering 4.Water laboratory technology 5.Hydrogeology...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Yani ni kero mpaka mtu unakosa amani, mtu kahama chuo kutoka Open kwenda UDOM na faculty moja ya Education sasa mkopo hawajampa hata pesa za kujikimu akienda anapigwa tarehe na huko chuo nako...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
SERIKALI YA CHINA INAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA WAAJIRIWA KWENYE SKETA YA MAFUTA & GESI ASILIA. Seminar on the Utilization and Development of Petroleum and Gas for Tanzania 2016 will be held...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mtu ambaye anasoma Bachelor science of civil engineering. Nauliza hivi ni course gani nyingine ambazo natakiwa kusoma iwe (Diploma au Certificate) ambayo ina relate na field yangu ili nijiweke...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waungwana, mimi ni mwanafunzi wa kidato cha SITA combination ya CBG shauku yangu ni kuwa Daktari. Nimesikia kuwa kwa sisi wa CBG hatuna sifa ya kusomea udaktari kwa kuwa hatusomi PHYSICS...
0 Reactions
38 Replies
24K Views
Ndugu, habari zenu!! Nimehamia Arusha, ninaishi mitaa ya hapa KWA MREFU. ninatafuta shule kwa ajili ya vijana wangu wa shule ya msingi. Ninaomba msaada, kwa mitaa hii hadi Sanawari ni shule...
0 Reactions
21 Replies
21K Views
Wadau me nipo mkoani nimesikia tetesi post kwa walioomba course ya lab medical zimetoka!naomba mwenye uwakika ktk hlo.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Profesa Assad amezungumzia pia ukaguzi maalumu alioufanya kuhakiki fedha zilizowahi kutolewa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa taasisi mbalimbali zilizoko chini yake. Ukaguzi huo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, hebu tukumbushane mambo mbali mbali ya shule kipindi hicho. Mimi sitasahau jinsi tulivyokuwa tunasifiwa mtaani kwa kujua hesabu sometimes tunaitwa ma Genious,.. Wewe unakumbuka...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Mtu unaposoma kuna masomo hufundishwa kama strategic management au business stategy.Mtu kama unasoma lengo hasa ni kuitumikia nchi ikiwezekana katika nafasi hadi kubwa ya utawala wa nchi.Na hili...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Miaka michache iliyopita niliwahi kusikia kwamba UDSM imepiga marufuku wanafunzi wanaovaa nguo zisizo na adabu kwenye jamii wawapo chuoni hapo, je marufuku hiyo bado ipo au wamelegeza kamba...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Back
Top Bottom