Msaada wa kufuta ujumbe wa maandishi kwenye simu za android

kabilili

Member
May 30, 2012
50
4
Nina tatizo kwenye simu yangu kila nikifuta message nikizima simu nikiwasha tu ile message inajirudia tena mpaka inakuwa kero. Mwenye uelewa jinsi ya kuifuta completely isiwe inajirudirudia tena. Asanteni
 
Back
Top Bottom