Murungu mbna profile hazina mpya bhanaKwa wale walioomba vyuo vya mwezi wa nne majibu tayari check kupitia profile yako.
Ni kweli kaka but siwaelewi naona yangu haisomi wakati nimeomba kwa ajili ya aprilKwa wale wa programme za april kama zilivyoonyweshwa kwenye site ya nacte walipata zinaonekana
Kwenye list hakipo bt wao chuoni wanasema wanachukua intake mwenzi wa 4..mfano school of operative and management mbeyaNiambie ni vyuo gani uliomba nikusaidie kuangalie kama vipo kwenye list