Habari wana JF Mimi ni muhitimu wa stashahada ya Umeme pale Dar es salaam Institute Of Technology (DIT).
Nilifanya mtihani wa mwisho July 2014, mahafali yakafanyika January mwaka uliofata.
Mpaka...
nimebahatika kuchaguliwa kwenye diploma in animal health and production na pia nimepata nafasi kwenye horticulture chuo cha Tengeru,naomba mnisaidie ipi inasoko maana kwenye mifugo nina...
Wakuu msaada wenu tafadhali, hivi ni coz gani yenye soko ya mwaka mmoja mtu anaweza kusoma inayohusu mambo ya science, wenye uelewa na uzoefu tafadhali!
NATIONALISM AND DECOLONIZATION IN AFRICA
What is African Nationalism?
There has emerged as many definitions of African nationalism as there are scholars who have tried to define the word...
Huyu si mwingine ni yule aliyefukuzwa kazi wilaya ya mbinga kwa kuiba ela milioni 200 alizochangisha kwa wazazi sasa ameteuliwa kwenda kuwa afisa elimu taaluma mkoa wa Rukwa.
Cha kushangaza...
Bunge limepitisha bajeti ya ofisi ya Rais na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
Awali akiwasilisha bajeti ya Ofisi ya Rais na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016 Waziri wa...
Mabadiliko ya tabianchi ni mabadiliko ya muda mrefu kuanzia miongo mpaka milenia ya muundo wa hali ya hewa ikijumuisha jotoridi, kunyesha kwa mvua, upepo, mgandamizo wa hewa na mielekeo mingine ya...
Yapo mambo ambayo serikali yangu ikiamua kufanya inafanya. Kama mwalimu niliyeajiriwa 2015 nasubiri kwa hamu kupata barua ya uthibisho kazini ili nikopee mkopo bank, naomba Waziri Simbachawene toa...
Wakuu kuna sehemu sielewi kidogo hapa kwenye kuview course ulichagua kwa juu wameandika applicants choose as kuna first mpaka nineth ina maana gani wakuu?
Wana taaluma nawasalimu
Naomba kwa anayefahamu chuo kikuu cha hapa nyumbani Tanzania kinachotoa shahada (degree) au shahada ya uzamili (masters) anisaide kunipa taarifa.
Katika vyuo...
Nawasalimu sana wana jukwaa la Elimu.
Kwa wale wenye taarifa kuhusu wahitimu wa hii Diploma pale Chuo kikuu cha Dodoma maana wahitimu wa kwanza itakuwa ni mwaka kesho, nilitaka kujua tu kwa ufupi...
Wakuu heshima zenu,nilikua nataka nisome course ya CIMA yaani niwe Certified Management Accountant,sasa sijui kama hapa Tanzania kuna institution yoyote ambayo huwa inatoa hizo course hapa...
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu. mimi ni mwanafunzi ninaehitaji kujiunga na chuo hiki.Nilikuwa naomba kwa mwenye namba za uongozi wa chuo anipatie. ili niweze kupata undani wa kina...
Wadau, natumaini niko sahihi kuulizia hitajio langu hapa nikiamiani ni jukwaa la watu wapevu walioshiba miaka. Ninahitaji maelekezo ya wapi nitaweza kupata vitabu nitakavyoorodhesha hapo chini ili...
Mtoto Getrude amenifanya nikumbuke hii habari, inahusu binti anaitwa Mainda, baba yake mainda ni dereva katika ofisi za serikali, mama anajihusisha na biashara za hapa na pale, Mainda alikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.