Barua ya Prof. Heinrich kwenda kwa Einstein june 06 1907

sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
767
677
Sijui huyu prof. Heinrich alipata wapi huu ujasili.

Nani asiyeujua umahili wa huyu mtaalam wa physikia. Soma kwa makini hii barua ya trh 6 june 1907
 

Attachments

  • IMG-20160508-WA0092.jpg
    IMG-20160508-WA0092.jpg
    49.1 KB · Views: 53
Huu ni uhalisia wa changamoto walizozipata watu wote wenye akili kubwa
Hiyo barua inatuonyesha mwanzo Mgumu wa safari ya maajabu ya Einstein katika Ulimwengu wa sayansi. Ya kisasa

Watu kama Galileo Galilei, Baba wa taaluma ya Ualimu Socrates, Na wengine wengi walipata shida.
 
Back
Top Bottom